
Saa ya ukombozi
by Nkwazi Nkuzi Mhango
Rate this book:
No club is reading this yet — be the first to start one
About
>Wanakijiji cha Githakwa, kijiji kilichogundulika kuwa na vito vya thamani visivyopatikana kokote isipokuwa Githakwa wanajikuta wakiuzwa bila wao hata serikali kuu kujua! Mbunge wao, Harry mtoto wa mpishi wa zamani wa wakoloni na msaliti Livingstone Kupata, anawauza kwa mwekezaji wa kizungu Glutton Sucker mwenye kampuni la Get Rich in Goon’s World Co (GRGW) kwa kushirikiana na mkuu wa mkuu wa wilaya Mrongo Kumbakumba, mkuu wa mkoa, Gibbons Dikupatile na waziri wa fedha ambaye ni shemeji yake Harry baada ya kupewa chao -ten percent- ambayo imegeuka muuaji mkuu wa chumi za nchi nyingi na watu wake.
>
>Wakati yote haya yakijiri, si rais wala wananchi wengine wana taarifa ya hujuma hii iliyofichwa kwenye uwekezaji wa kifisadi, ubinafsishaji vinavyogeuka kuwa ufisi na ubinafsi. Kila mwenye madaraka ana-Chukua Chake Mapema hata kwa kuwauza watu wake na mali zao. Kila chura analia kivyake na kila mbuzi anakula zaidi ya urefu wa kamba yake!
>
>Katika kisa hiki, mzee mmoja maarufu Njema anawaongoza wanakijiji kupambana na jinai hii. Kwa msaada wa vyombo vya habari na mashirika ya kupigania haki za binadamu, wanakijiji wanafanikiwa kuwashinda wezi hawa wa mchana tena wa kuzaa wenyewe.
- [the author](https://mpayukaji.blogspot.com/2010/03/kitabu-chasaa-ya-ukombozi.html)
Discuss Saa ya ukombozi with other readers
Join or start a book club for Saa ya ukombozi on Readfeed. Live chat, shared reading progress, and AI discussion questions — free to get started.
Frequently asked questions
How do I join a book club for Saa ya ukombozi?
Sign up free on Readfeed, then browse public clubs or start your own club with Saa ya ukombozi as the current read. Invite friends with a share link and discuss together with live chat and AI discussion questions.
Can I discuss Saa ya ukombozi with other readers online?
Yes. Readfeed book clubs let you chat live, share progress, and join discussions about Saa ya ukombozi with readers worldwide — whether your club is virtual, in-person, or hybrid.
Is Readfeed free?
Yes. Creating an account and joining book clubs is free. Sign up to find readers who love the same books and start discussing today.