About
Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine ni diwani inayojumlisha hadithi fupi zinazoakisi hall halisi katika jamii za Afrika Mashariki. Ni hadithi ambazo zinamfanya msomaji akereke na kuungulika kwa kuiona dhiki, unafiki na uovu uliotamalaki katika matendo ya waja. Ni hadithi zinazofichua uozo na uovu wa kisiasa, kiuchumi na kijamii; hadithi zinazokemea matendo yasiyokuwa na uadilifu na zinazofichua uthori na ubaya ahasi ulioshamiri katika jamii zetu. Hadithi hizi ni kioo halisi cha kututazamisha jamii na kutufanya tutafakari kuihusu hatima ya jamii yenyewe. Ni chocheo kubwa la fikira litakaloya- chokonoa mawazo ya wasomaji. Diwani hit ni mchango aali kwenye utanzu huu muhimu.


K.W. Wamitila, mhariri wa diwani hit, ni mwandishi maarufu aliyeandika vitabu vingi vya fasihi na higha ya Kiswahili. Baadhi ya vitabu hivyo ni: Wingu la Kupita, Pango (tamthilia), Kichocheo cha Fasihi: Simulizi na Andishi, Kamusi ya Fasihi: Istilahi n a Nadharia na Kamusi ya Tashbihi, Vitendawili, Milio na Mishangao. Diwani ya mashairi aliyoihariri, Tamthilia ya Maisha, itachapishwa hivi karibuni. Kwa sasa, Dkt. K.W. Wamitila ni Mhadhiri Mkuu wa Somo la Fasihi na Nadharia katika Chuo cha Elimu na Masomo ya Mbali, Chuo Kikuu cha Nairobi.

Discuss Mayai waziri wa Maradhi with other readers

Join or start a book club for Mayai waziri wa Maradhi on Readfeed. Live chat, shared reading progress, and AI discussion questions — free to get started.

Frequently asked questions

How do I join a book club for Mayai waziri wa Maradhi?

Sign up free on Readfeed, then browse public clubs or start your own club with Mayai waziri wa Maradhi as the current read. Invite friends with a share link and discuss together with live chat and AI discussion questions.

Can I discuss Mayai waziri wa Maradhi with other readers online?

Yes. Readfeed book clubs let you chat live, share progress, and join discussions about Mayai waziri wa Maradhi with readers worldwide — whether your club is virtual, in-person, or hybrid.

Is Readfeed free?

Yes. Creating an account and joining book clubs is free. Sign up to find readers who love the same books and start discussing today.